Nafasi Ya Matangazo

July 12, 2010

BAADHI ya wadau walioalikwa kuhudhuria uzinduzi rasmi wa mfululizo wa filamu ya ‘Sex in the City 2’ iliyotengenezwa Marekani na Abu Dhabi, Dubai wakipita kwenye pinki kapeti kuingia kwenye ukumbi wa sinema wa Century uliopo Mlimani City kuhudhuria hafla hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Wadau wakiwa wamepozi ili kupata picha za ukumbusho kuhusiana na mfululizo wa filamu ya ‘Sex in the city 2’ iliyokuwa ikiooneshwa rasmi nchini kwa mara ya kwanza.
wageni walimiminika kushuhudia uzinduzi huo.
BAADHI ya waalikwa wakibadilishana mawazo nje ya ukumbi wa sinema wa Century kabla ya filamu hiyo kuanza kuoneshwa rasmi.
Wadau wakiwa wamepozi ili kupata picha za ukumbusho kuhusiana na mfululizo wa filamu ya ‘Sex in the city 2’ iliyokuwa ikiooneshwa rasmi nchini kwa mara ya kwanza.

Posted by MROKI On Monday, July 12, 2010 2 comments

2 comments:

  1. AnonymousJuly 13, 2010

    Loved the movie but felt that the cast wamechoka kidogo ki-umri.
    Enjoyed the TV series and might say first film was much better in content.
    Anyway, just a comment on AIDS concerns, tukumbuke hii ni filamu, so-watu waanze kujirusha ki-sex in the city!!!!!

    Beautiful photos btw, 10/10 for the one third from the bottom, beautiful smiles...

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 15, 2010

    ....Ni vije picha zote zilizo wekwa ni akina mama!? ati na sinema inaitwa SEX IN THE CITY !

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo