Samaki ni wachache na wanao hitaji ni wengi...hapa ni katika mnada watu nyomi.
Huu si mkutano wa Kampebi bali ni wanunuzi wa Samaki Feri wakisubiri samaki katika mnada. Akina mama wakipaa samaki wao walio wanunua. Hali ya upatikanaji samaki katika soko la feri si ya kuridhisha na kukidhi mahitaji ya watu wanaofika sokoni hapo.
0 comments:
Post a Comment