Nafasi Ya Matangazo

July 21, 2010

Kukatwa kwa kipande cha kingo ya barabara katika barabara ya Azikiwe katikati ya Jiji la Dar es Salaam kumekuwa ni faraja kubwa kwa madereva ambao walikuwa wanalazimika kwenda hadi mzunguko wa askari kugeuza magari yao kama wanahitaji kupita mtaa wa Jamhuri wakitokea Mtaa wa Garden ama Maktaba.
Barabara hiyo imekatwa na sasa kufanya makutano ya Jamhuri, Azikiwe na Garden karibu na jengo la NMB na Mkapa Tower. Hatua hii imepelekea kupungua kwa foleni na pia madereva wanaaswa kuwa wastaarabu ili kuepusha foleni.
Posted by MROKI On Wednesday, July 21, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo