

Jana katika pitapita yangu mtaani niliongozana na wanbafunzi ambao walikuwa wakipiga stori zao za kishule shule. Na kubwa zaidi walikuwa wakijadili vile wanavyopata adhabu shele kwa kuchelewa. Wanafunzi hao wa kike mmoja alikuwa anasema leo hata chelewa na atalipa nauri ya mtu mzima ilimradi awahi shule maana jana alipewa adhabu ya kufyeka kutwa nzima.
Je kero hii ya usafiri kwa watoto wa shule itaisha lini?.
0 comments:
Post a Comment