Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri , Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Mbunge wa Siha , Aggrey Mwanri kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 12, 2010.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mafia, Abdulkarim Hassan Shah (kushoto) na Mkewe Samira Shah kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Julai 12, 2010.
0 comments:
Post a Comment