Mtu mzima anakwambia Chagua moja, kunanihii ama ....kuja Fiesta kujipangusa ama kukaa home na vumbi. Huyu ni Fid Q hakukosekana Fiesta Jiopanguse Morogoro katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro Julai 7 2010.
Mshindi wa tuzo 3 za Kili Music Award 2010 almaarufu mzee wa Mbagala Diamond akiimba nyuma ya jukwaa.
Unapoona Jahazi lataka kuzama nahodha huingia kati...Huyu ni DJ Ruge akijipangusa na maskrach ya ukweli katika tamasha la Fiesta Jipanguse.
Mzee wa Utaoa lini nae alikuwepo na kufanya vitu vya ukweli.
wadau mbalimbali walikuwepo.
Mashabiki walijipangusa kisawasa ndani ya Jamhuri mjini Morogoro kunako FIESTA 2010.
Lina kutoka THT aliwapangusa vilivyo na wimbo wake aliomshirikisha Barnaba.
Barnaba wa THT akifanya vitu vyake.
Amin nae aliwashika washabiki wa Morogoro kwa kazi yake nzuri.
Hapa Amini akiwapangusa vilivyo mashabiki katika Fiesta Jipanguse
Wazee wa Tip Top Connection wakimwaga sera.
Yaheeeeeeeeeeeeeee! Hawa ni wazee kutoka kule kwa wala samaki Offside Tric lakini wanatamba sana na kibao chao cha BATA na ule walio mshirikisha Bi Kidude wa AHMADA UMELEWA.
0 comments:
Post a Comment