Nafasi Ya Matangazo

July 08, 2010

Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya 2 EYEZ PRODUCTION ya jijini Dar es Salaam wamepata ajali ya gari wakielekea mkoani Dodoma kikazi wakitokea katika tamasha kubwa la burudani la Fiesta 2010 lililofanyika jana mjini Morogoro katika Uwanja wa Jamhuri.
Watumishi hao 4 akiwapo Anwar pichani walipata ajali usiku baada ya gari lao kuacha njia na kupinduka na wanadaiwa kupata majeraha lakini hakuna aliyepoteza maisha.

Aidha Anwar ambaye alikuwa na vijana hao wakichapa kazi ya Fiesta Jamhuri alikuwa akielekea mjini Dodoma kupiga kazi ya CCM mjini humo.

Tutawapa habari zaidi baadae.
Posted by MROKI On Thursday, July 08, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo