Nafasi Ya Matangazo

July 12, 2010

Vodacom Miss Temeke 2010 Geneviva Emmanuel(katikati)akiwa na mshindi wa pili Anna Daud(kushoto)mshindi wa tatu Britania Urasa wakipunga mikono mara baada ya kutangazwa washindi wa shindano hilo lililofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya TCC Sigara Chang’ombe jijini Dares Salaam
Muandaaji wa Miss Temeke Ben Kisaka wapili toka kulia akimkabidhi Mkurugenzi wa masoko wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru Tuzo ya shukrani kwa udhamini wao katika shindano la kumtafuta mlimbwende wa Temeke,kulia Miss Temeke Genevivu Emmanuel,Mkuu wa Udhamini wa Vodacom George Rwehumbiza(kushoto)Mshindi wa pili miss Temeke Anna Daud.
Afisa ustawi wa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Ndihagati Biduga akiwafafanulia jambo warembo walioingia tano bora katika kinyang’anyiro cha kumtafuta Miss Temeke mara baada ya kutembelea makao makuu ya kampuni hiyo,anaeangalia kulia ni msambazaji wa barua wa kampuni hiyo Rashid Mbonde.Afisa habari wa Vodacom Tanzania Kilasa Mtambalike aliyesimama(kulia)akiwa kwenye picha ya pamoja na warembo walioingia tano bora katika kinyang’anyiro cha kumtafuta Miss Temeke mara baada ya kutembelea makao makuu ya Vodacom Tanzania ambao ni wadhamini wakuu wa mashindano hayo. Watatu toka kulia waliokaa ni Afisa wa Vodacom Foundation Grace Lyon.
Posted by MROKI On Monday, July 12, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo