



Baadhi ya wasanii wa Nyimbo za Bongo Fleva wa Jijini Dar es Salaam walioko katika ziara maalum ya Tamahs la Fiesta 2010 waliomtembelea Rais Jakaya Kikwete Ikulu ndogo ya Chamwino mjini Dodoma Julai 13 2010 kumpa pongezi ya kuteuliwa kuwa Mgombea Urais 2010 kwa tiketi ya Cham cha Mapinduzi CCM. Miongoni mwa wasanii hawa walishiriki katika Kampeni za mwaka 2005 za Rais Kikwete.





0 comments:
Post a Comment