Nafasi Ya Matangazo

July 21, 2010

Badhi ya walimbwende wasomi wanao wania taji la Miss Vyuo vya Elimu ya Juu 2010 wakijifua kwaajili ya shindano hilo linalotaraji kufanyika Julai 23 2010 katika ukumbi wa Karimjee Dar es Salaam ambako warembo 12 watachuana kuwania taji hilo.
Warembo hao ni kutoka vyuo vya IFM, CBE, USTAWI na UDOM.
Miss Tanzania 2009, Miriam Gerald (wapili kulia) na Mwalimu wao Torry (kulia) wakizungumza nba baadhi ya washiriki wa Miss Vyuo vya Elimu ya Juu 2010 baada ya mazoezi yao Dar es Salaam jana.
Rachel Sindbard
Pendo Sam
Florah Martin
Ester Emmanuel
Agatha Kilala
Marylydia Boniface
Shone Mwanyenje
Rahma Swai
Cassiana Milinga
Joyce Baluhi.
*********
Shindano limedhaminiwa na
VODACOM TANZANIA na REDDS PRIMIUM COLD

Posted by MROKI On Wednesday, July 21, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo