Mkongwe na Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chama cha Makapera Tanzania tawi la The Guardian LTD, Frank Mariadi jana Julai 24 2010 alikihama rasmi chama hicho na kujiunga na Chama cha Wastaarabu walio katika ndoa Duniani tawi la The Guardian Ltd baada ya kufunga ndoa na Bi Mariam Kamtande.
Frank Mariadi na mkewe Mariam Kamtande wakionesha shahada zao za ndoa takatifu walioifunga katika Kanisa katoliki St. Peter Dar es Salaam.
wadada waliotia nakshi nakshi katika harusi hiyo ya kukata na shoka ambayo tafrija yake imemalizika hivi punde katika Ukumbi wa New Msasani Club Dar es Salaam.
DIGITAL PHOTOS
MD Digital Company
o755 373999/0717002303
Dar Es Salaam.
0 comments:
Post a Comment