Nafasi Ya Matangazo

July 25, 2010

Hii ndo keki ambayo Glory alikata jana kuazimisha miaka 2 ya kuzaluiwa kwake.
Hapa bibie akikata keki hiyo...Happy Birthday Glory...
Mashosti, ndugu na jamaa walifika katika kajitafrija hako.
Hapa Glory Mroki akiwa na dada yake Beatrice Mroki picha iliyopigwa kabla ya tafrija kuanza.

Posted by MROKI On Sunday, July 25, 2010 1 comment

1 comment:

  1. AnonymousJuly 25, 2010

    tunamtakia miaka mingi ya furaha na amani

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo