Nahodha wa timu ya Expo Trading Cricket Club, Harish Patel (kushoto) akipokea Kombe la ushindi wa Mashindano ya Kriket ya urafiki kati ya Pakistani na Tanzania yaliyomalizika jana katika Viwanja vya Leders Dar es Salaam jana. Anae Kabidhi kombe hilo ni Mgeni Rasimi Shakil Ansari. Michezo hiyo iliyoshirikisha timu 16 iliandaliwa na Jumuia ya Pakistani ikiwa na lengo la kuimarisha mahusiano baina ya Tanzania na Pakistan pamoja na kuwaweka vijana katika afya bora ya kimicheza na kuwaondolea muda wa kufanya maovu.
0 comments:
Post a Comment