Nafasi Ya Matangazo

July 19, 2010

Hii ilikuwa pale Wilayani Korogwe mkoani Tanga Hice ikiwa imesheheni pipa mbili za mafuta nyuma na abiria ndani jambo ambalo ni hatari kwa usalama wa abiria na malizao.
Starehe gharama...Hice ikiwa imepakia lumbesa ya mizigo katika eneo la Mwanga Wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro. Askari wapo humu barabarani au wanakamata magari mazima tu na mabovu kama haya yanapeta.
Posted by MROKI On Monday, July 19, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo