Nafasi Ya Matangazo

July 19, 2010

Tunaingia pale kwa kwa nnyama choma Korogwe
Tunakaribia sasa
tunaona wenzetu washanunua wanatoka...
Tuanaona magari ni mengi hapa...
Kila mmoja anaenda kujinafasi...
Tunashuka sasa...
Ndizi na viepe ndo hivyoooo...
Nikajinunulia ndizi nyama choma namna hii...ni tamu we acha tu chali yangu ni buku tatu.
Wadau zangu Kunradhi nawakilisha...Ila angalizo tu kama wasafiri kwenda Kilimanjaro, Arusha na hata kwa watani hapo Kenya hakikisha unapita hapa Korogwe High Way Hotel upate vitu kama hivi. Ila usipande yale mabasi ya akina nanihii hayaingii hapa. Hapa ni akina DAR EXPRESS, KILIMANJARO na jamii zake ya nauri ya 25,000/=

Posted by MROKI On Monday, July 19, 2010 2 comments

2 comments:

  1. mambo ya kuangalia picha hizi ukiwa na njaa...

    ReplyDelete
  2. sio nauRI bali ni nauLI naomba kuwakilisha hoja

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo