Hapa Glory Mroki akiwataarifu rafiki zake kuwa ametimiza miaka 2 Julai 24 2010 saa 4 asuhubi. Na katika kumshukuru Mungu kwa kutimiza umri huo ameandaa ndafu ya kuku home kwao Ukonga Mombasa, mtaa wa Mazizini. HAPPY BITHDAY GLORY HAPPY BITHDAY 2 YOU. GOD BLESS YOU.
Mwenyezi Mungu akubariki Glory na kukupa neema na rehema nyingi katika siku za uhai wako alizokujaalia.
ReplyDeleteHongera familia ya Mroki.
Hongera kwa siku ya kuzaliwa mtoto G!!
ReplyDeleteKaka anza mapema kufuga kaboby. lol Hapy Birthday G.
ReplyDeleteKaka MIONZI ya simu sio mizuri kwa watoto hiyo Kaka.
ReplyDeleteKhaa!
happybirthday baby, naomba usiweunampa mtoto simu za mikononi sio nzuri wataalam wanashauri.mdau wa texas
ReplyDelete