Nafasi Ya Matangazo

July 24, 2010

Hapa Glory Mroki akiwataarifu rafiki zake kuwa ametimiza miaka 2 Julai 24 2010 saa 4 asuhubi. Na katika kumshukuru Mungu kwa kutimiza umri huo ameandaa ndafu ya kuku home kwao Ukonga Mombasa, mtaa wa Mazizini.
HAPPY BITHDAY GLORY HAPPY BITHDAY 2 YOU. GOD BLESS YOU.
Posted by MROKI On Saturday, July 24, 2010 5 comments

5 comments:

  1. Mwenyezi Mungu akubariki Glory na kukupa neema na rehema nyingi katika siku za uhai wako alizokujaalia.
    Hongera familia ya Mroki.

    ReplyDelete
  2. Hongera kwa siku ya kuzaliwa mtoto G!!

    ReplyDelete
  3. Kaka anza mapema kufuga kaboby. lol Hapy Birthday G.

    ReplyDelete
  4. ZeroBrainJuly 26, 2010

    Kaka MIONZI ya simu sio mizuri kwa watoto hiyo Kaka.

    Khaa!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 26, 2010

    happybirthday baby, naomba usiweunampa mtoto simu za mikononi sio nzuri wataalam wanashauri.mdau wa texas

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo