Baadhi ya viongozi waandamizi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakiwa katika Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM,Dodoma jana.
Kikundi cha Ngoma cha Wanawake cha Mjini Dodoma wakitumbuiza wakati wa mapokezi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi mjini Dodoma jana.



Mimi nahisi hamna anayefaa kushika uraisi wa Tanzania ila Salim Ahmed Salim huyu kaitumikia Tanzania na Africa milele kwa anastahili kupata uraisi kwa sasa hivi, ana siasa nzuri na kujulikana ulimwenguni.
ReplyDelete