Nafasi Ya Matangazo

July 06, 2010


Mtu Mzima Joseph Kusaga ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Clouds Entertainment akizungumza huku karibu yake akiwa Ruge Mutahaba.
Hawa ni watu wa nyuma ya pazia yaani mafundi mitambo pamoja na maprograma wa Clouds TV ambao walitambulishwa jana.

Wadau wakijionea matukio mbalimbali wakati wa utambulisho huo wa Clouds TV.
Ushauri na majadiliano vilipokelewa na Ruge wakati wowote hadi sasa anapokea kuboresha Clouds TV.

Wadau wa burudani waliotia timu Club Billicanas Dar es Salaam kushuhudia uzinduzi wa logo ya Clouds Tv pamoja na Fiesta Jipanguse 2010 ambayo ilikuwa ya kutambulisha wasanii.
Wadau kibao walikuwepo...
Ni kila mpiganaji alifika kuunga mkono uzinduzi huo...

Hawa ni baadhi tu ya watangazaji wa Clouds TV waliotambulishwa.
Posted by MROKI On Tuesday, July 06, 2010 1 comment

1 comment:

  1. Duh! Eee Bwana Mroki ee, kudadadek walah,
    Hiyo picha ya 4 toka chini hapo umenikosha sana.
    Big up sana. Siku hizi unaimpruv sana kwenye uchukuaji wa picha kama hizi zetu hizi.

    Dah! Nitafute nikupe zawadi yako Mwanangu.
    Lete nyingine.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo