Wanyange wanaowania taji la Redd's Miss Temeke 2010 wakiwa kwenye picha ya pamoja jana ikiwa katika moja ya maandalizi ya mashindano hayo yatakayofanyika July 6 kwenye klabu ya TCC Chang'ombe siku ambayo hakutakuwa na mchezo wowote wa fainali za kombe la Dunia.
Warwmbo wa Temeke wakipozi jukwaani wakati walipohudhuria utambulisho wa Logo ya Clouds TV na Fiesta Jipanguse 2010.
Usafiri wao ndo huuu.....
Wakiyarudi magoma katika ukumbi wa Club Bills.
0 comments:
Post a Comment