Katibu mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo Bw. Seith Kamuhanda akiongea na wahariri wa vyombo vya habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es salaam. Pamoja na mambo mengine ametoa changamoto kwa wahariri wawe chachu katika kuleta mabadiliko na kuhakikisha kuwa habari zinazotolewa zilenge katika kuchochea maendeleo nchini
Wahariri wa vyombo vya habari wakifuatilia kwa makini hotuba ya Katibu mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni na Michezo Bw. Seith Kamuhanda wakati alipokutana nao leo jijini Dar es salaam.
0 comments:
Post a Comment