Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua maonyesho ya maua na mbogamboga baada ya kufungua mkutano wa tatu wa kitaifa wa wadau wa mazo ya bustaniuliofanyika kwenye hoteli ya Naura Spring Mjini Arusha May 31, 2010. Wapili kulia ni Mwenyeki wa Baraza la uendeleza Mazao ya Bustani, Felix Mosha na Watatu kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Isdory Shirima.
0 comments:
Post a Comment