Nafasi Ya Matangazo

June 01, 2010

Bia ya Ndovu Special Malt inayozalishwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) imeshinda Grand Gold Award iliyokabidhiwa jana Jumatatu usiku May 31, 2010 katika jiji la Wiesbaden, Ujerumani na kupokelewa na Meneja wa Ndovu Oscar Shelukindo na
Mpishi Mkuu wa TBL Gaudence Mkolwe.
Oscar Shelukindo na Mzee Gaudence Mkolwe wakipokea Grand Gold Award ya Ndovu Special Malt jijini Wiesbaden, Ujerumani, usiku kuamkia leo.Ndovu special mart ikipeperusha bendera yetu juu
Mmoja wa Watanzania waishio Ujerumani akijiunga kushangilia ushindi wa Ndovu
nifuraha ya ushindi si kwa TBL tu bali ni kwa watanzania na wanywaji wote wa Ndovu
Ndovu Special Malt ikitangazwa mshindi wa tuzo ya Grand Gold
Medali
Cheti.
Mapokezi ya tuzo hiyo yatafanyika kwa shangwe watapotua Dar es Salaam Jumatano Mchana

Posted by MROKI On Tuesday, June 01, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo