Nafasi Ya Matangazo

June 17, 2010

Mkurugenzi wa Mauzo,Huduma za kabla na Usambazaji wa Vodacom Tanzania,Exaud Kiwali(kulia) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa kuzindua kampeni ya kuchangia fedha kwa Mamlaka ya Elimu Tanzania kupitia huduma ya M-Pesa kwa kutuma mchango wake kwenda 300100 kwa ajili ya kuweza kuwasaidia watoto wasiojiweza, kushoto ni Mkurugenzi wa Uhamasishaji na Ukuzaji Rasilimali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania Seif Mohamed. Mkurugenzi wa Mauzo,Huduma za kabla na Usambazaji wa Vodacom Tanzania,Exaud Kiwali(kulia) akielezea njia mbadala za kuweza kuchangia kutuma fedha kwa kutumia huduma ya M-Pesa kwenda 300100 kwa ajili ya Mamlaka ya Elimu Tanzania na fedha hizo kuweza kuendeleza elimu nchini hususani kwa wanafunzi wasiojiweza.Katikati Mkurugenzi wa Uhamasishaji na Ukuzaji Rasilimali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania Seif Mohamed na kushoto ni Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Nector P.Foya.
Posted by MROKI On Thursday, June 17, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo