Baadhi ya washiriki wa shindano la kumtafuta Vodacom Miss Pwani 2010 wakifanya pazoezi katika ukumbi wa Hoteli ya Raj, Kjitonyama, Dar es Salaam jana. Shindano hilo linatarajiwa kufanyika Juni 12 mwaka huu mjini Kibaha mkoani Pwani.
Mmoja wa washirkji wa shindano la kumtafuta Vodacom Miss Pwani 2010 Amina Ally akipozi kwa picha wakati wa mazoezi yao .
Shaymaa Edward Mtetema akiwa mbele ya wenzake kwaajili ya kunaswa taswira yake.
Margareth Akonaay akijifua kwaajili ya kuwania taji la Vodacom Miss Pwani 2010
Mrembo Rahma Faizi nae alitisha katika mazoezi hayo.
Aaaa Mroki, na we umeshaanza kuwa MAGUMASHI?
ReplyDeleteLete zile picha zetu zile. Achana na hizi bwana