Bajeti ya Zanzibar hii hapa...WAaziri wa Nchi Ofisi ya Rais Zanzibar anayeshughulukia Fedha na Uchumi Dk. Mwinyihaji Makame akiwasili viwanja vya Baraza la Wawakilishi tayari kwa kusoma bajeti ya serikali ikiwa katika mkoba aliobeba.
Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Zanzibar (Fedha na Uchumi) Dk. Mwinyihaji Makame akisoma Bajeti ya Serikali, jana katika kikao cha Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Baadhi ya wanasiasa na wakazi wa Zanzibar wakifuatilia hotuba hiyo ya bajeti ya serikali Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa baraza jana.
0 comments:
Post a Comment