Nafasi Ya Matangazo

June 10, 2010

Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika wa Kampuni ya Tumbaku ya Universal Leaf Africa ambayo ni Kampuni mama ya Kampuni ya Tumbaku Tanzania (TLTC) na Kiwanda Cha Kusindika Tumbaku Tanzania, (TLTC) zote za Morogoro, Charlie Graham (wa tatu kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi baada ya kuwakabidhi tiketi za kombe la dunia mjini Mrogoro jana na kuhudhuriwa na Mkurugenzi wa TLTC Paul Crossan(wa Pili kulia). Wafanyakazi hao ni Mkurugenzi wa Uhusiano wa TLTC, Richard Sinamtwa,(kulia),Msimamizi wa Uzalishaji wa TTPL,(wa tatu kulia), Mhasibu wa TLTC, Emmanuel Mhagama (kushoto) na Meneja Mkuu Kanda ya Magharibi wa TLTC, Thadeus Lyimo.
Meneja Mkuu Kanda ya Magharibi wa TLTC, Thadeus Lyimo nae alipokea tiketi zake.
Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika wa Kampuni ya Tumbaku ya Universal Leaf Africa ambayo ni Kampuni mama ya Kampuni ya Tumbaku Tanzania (TLTC) na Kiwanda Cha Kusindika Tumbaku Tanzania, (TLTC) zote za Morogoro, Charlie Graham (kushoto), akimkabidhi Mhasibu wa (TLTC), Emmanuel Mhagama tiketi za kushudunia kombe la dunia nchini Afrika Kusini kwa michezo kati ya Brazili na Ivory Cost pamoja na Denmark dhidi ya Cameroun. Makabidhiano hayo yalifanyika jana mjini Morogoro na kushuhudiwa na Mkurugenzi wa TLTC, Paul Crossan (wa pili kushioto) na Mkurugenzi wa Uhusiano TLTC, Richard Sinamtwa.
Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika wa Kampuni ya Tumbaku ya Universal Leaf Africa ambayo ni Kampuni mama ya Kampuni ya Tumbaku Tanzania (TLTC) na Kiwanda Cha Kusindika Tumbaku Tanzania, (TLTC) zote za Morogoro, Charlie Graham (kushoto), Msimamizi wa Uzalishaji wa TTPL, Jimmy Mollel tiketi za kushudunia kombe la dunia nchini Afrika Kusini kati ya Brazili na Ivory Cost pamoja na Denmark dhidi ya Cameroun. Makabidhiano hayo yalifanyika jana mjini Morogoro na kushuhudiwa na Mkurugenzi wa TLTC, Paul Crossan (wa pili kushioto) na Mkurugenzi wa Uhusiano TLTC, Richard Sinamtwa.
Mkurugenzi wa Uhusiano Kampuni ya Tumbaku Tanzania (TLTC), Richard Sinamtwa akionesha bahasha yenye tiketi za kuhudhiria kombe la dunia Afrika Kusini baada ya kukabidhiwa na Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika wa Kampuni ya Tumbaku ya Universal Leaf Africa, ambayo ni kampuni mama ya TLTC, Charlie Graham (kushoto). Tiketi hizo ni za mechi za Brazili na Ivory Cost pamoja na Denmark dhidi ya Cameron. Makabidhiano hayo yalifanyika Morogoro jana na kushuhudiwa na Mkurugenzi wa TLTC, Paul Grosan katikati.

Posted by MROKI On Thursday, June 10, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo