Waendesha pikipiki wamekuwa wakitumia nafasi ya katikati kati ya gari na gari barabarani na kusababisha ajali nyingi ambazo mabli ya wao kubana na magari hayo pia wamekuwa wakiwagonga sana watembea kwa miguu. Hali hii ilipelekea wao kuamriwa kupita pembembeni ya barabra jambo ambalo amri hiyo haitekelezeki kiusalama kama hawa wafanyavyo pichani.
0 comments:
Post a Comment