Wadau kutoka kituo cha Televisheni cha Channel 10 cha jijini Dar es Salaam wakiwa katika picha yao ya pamoja baada ya kongamano la wahariri na waandishi wa habari waandamizi mjini Morogoro. Kutoka kushoto ni Faraja Kihongole-Dar es Salaam,Lina Denis-Dar es Salaam, Jumbe Ismail-Singida, Munir Zakaria-Zanzibar, shedrack Peter-Dar es Salaam, kuringe Mongi-Dodoma na Judy Ngonyani-Sumbawanga.
Posted by MROKI
On Wednesday, June 02, 2010
No comments
0 comments:
Post a Comment