Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto) akiteta jambo na Waziri Mkuu Mizengo Pinda leo wakati wa kikao cha pamoja cha kujadili kero mbalimbali za muungano kilichofanyika mjini Zanzibar.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shen na Waziri Kiongozi wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar Shamsi Vuai Nahodha wakiwa katika mkutano wa kujadili kero za muungano.
Posted by MROKI
On Wednesday, June 02, 2010
No comments
0 comments:
Post a Comment