Nafasi Ya Matangazo

June 02, 2010

Mary Edward wa ITV Dodoma akiteta jambo na George John Marato Werema Wikori Wandwe wa ITV Mara wakati wa chai

Mkuu wa Mkoa wa nanihii kutoka Rukwa Juma Nyumayo akiwasilisha taarifa ya yaliyojiri.

Wadau wakifuatilia mada mbalimbali kwa umakini.

Domina Rwemanyila wa redio Tumaini pamoja na waandishi wengine wakifuatilia mkutano.

Dk. Frank Lekey kutoka NHIF akiwasilisha mada juu ya mafao yanayotolewa kwa wanachama wa mfuko wa Bima ya Afya na utaratibu wa kuwasilisha malalamiko.

Kiungo Mchezeshaji wa NHIF, Athumani Rehani akishusha nondo zake juu ya Mifuko ya afya ya Jamii-tele kwa Tele.

Dawati la Ufundi la kongamano hili la siku tatu likiwa katika nafasi ya0.

Wazee wa back bench wakiwa makini na kuperuzi nondo zao wakati wa kongamano la Wahariri na Waandishi wa Habari Waandishi Waandamizi.

Posted by MROKI On Wednesday, June 02, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo