
WAziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Usafiri la Dar es salaam, (UDA), Iddi Simba (watatu kushoto) Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dr. Charles Kimei (wapili kushoto), Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Jumanne Maghembe na Meya wa jiji la Dar es salaam, Alhaj Adam Kimbisa baada ya kuzindua huduma ya usafiri wa mabasi matano kwa Wanafunzi wa Dar es salam yaliyotolewa na Benki ya CRDB kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam Juni 7, 2010.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Waziri wa Miundombinu, Dr. Shukuru Kawambwa (wapili kua), Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Jumanne Maghembe (Wapili kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dr. Charles Kimei baada ya kuzindua huduma ya mabasi matano ya kubeba wanafunzi wa Dar es salaam yaliyotolewa na CRDB kwenye viwanja vya karimjee jijini Dar es salaam Junji 7, 2010.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi wa haduma ya mabasi matano ya kubeba wanafunzi yaliyotolewa na Benki ya CRDB kwenye viwanja vya Karimjee jini Dar es salaam Juni 7, 2010. Kulia kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Dr. Charles Kimei na Kushoto ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Jumanne Maghembe na Wapili kushoto ni Waziri wa Miundombinu, Dr. Shukuru Kawambwa.
0 comments:
Post a Comment