Nafasi Ya Matangazo

June 29, 2010

Wafanyakazi wa Kampuni ya simu ya Sasatel Rafael Joseph (kulia) na James Kagashe wakiangalia mambo katika mtandao wa Internent katika banda lao.
Hapa wakipitia Blogu hii kuona kazi zake kama inafaa kurusha hewani mambo ya Sasatel. Kutoka kushoto ni Rafael Joseph, Carlos Simba na James Kagashe.
Carols Simba akimhudumia mteja aliyetembelea banda lao.
Wadau wengine wakiwa mzigoni kushoto ni Dismas Mbawala
Dismas akitoa huduma kwa mteja bandani hapo ni katika Meza ya Huduma kwa Mteja.
Nje ya banda lao kuna burudani na michezo ya kila namna, ambayo wakubwa kwa watoto hufurahia na kushinda zawadi mbalimbali.
Posted by MROKI On Tuesday, June 29, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo