Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto (katikati) na Mbunge wa Kigoma Mjini, Peter Serukamba wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Juni, 29, 2010.
Mbunge wa Muleba Kusini, Wilson Masilingi (kulia) akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum , Shally Raymond kwenye jengo la Utawala la Bunge Mjini Dodoma Juni 29, 2010.
0 comments:
Post a Comment