Jengo jipya la Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania ambalo bado linaendelea na ujenzi wake katika eneo lililopo Ukonga Banana. Uwepo wa jengo hili la kisasa limebadilisha manzadhi ya Banana hasa ukiwaunatokea maeneo ya Ukonga Magereza kwa jinsi linavyoonekana.
Posted by MROKI
On Tuesday, June 29, 2010
2 comments
Hili ni jengo la Mamlaka ya Usalama wa Usafiri wa Anga (TCAA) na si la Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA)
ReplyDeletewote mmekosea ni MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA
ReplyDelete