Nafasi Ya Matangazo

June 01, 2010

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na wanachama wa Kikundi cha Mtazamo Vegetable growers cha Arumeru , Arusha bada ya kutembelea kituo na shamba lao Mei 31, 2010.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki Mjini Arusha Mei 31, 2010. Kulia kwake ni Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Dr. Diodorus Kamala.
Posted by MROKI On Tuesday, June 01, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo