Nafasi Ya Matangazo

June 01, 2010

Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO, Clement Mshana akiwasilisha mada yake ya Mchango wa Vyomvyo vy Habari vya Umma na Binafsi katika kuelimisha jamii kuhusu huduma za afya vijijini. Mshana pamoja na mambo mengine alizitaja Blogs (Magazeti tando) kuwa ni vyombo vya kuwasilisha habari ambavyo vina kuja kutokana na mabadiliko ya teknolojia.
Mtangazaji wa Redio na Televisheni Tumaini Rose Mdami akiuliza swali.
Huyu alikuwa na wakati mgumu sana kutokana na maswali mengi ya waandishi kumbana juu ya MSD na huduma hafifu za usambazaji dawa vijijini. Ni Celestine Haule Meneja Mauzo wa MSD.
Hapa walionekana kujadiliana kwa umakini kidogo.
Kutoka Mlimani TV Hamisi Dambaya akiuliza swali.
Beda Msimbe akiwasiliasha utafiti wake alioufanya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa juu ya huduma za Bima ya Afya.
Mzee wa Moshi James Paul (kushoto) na George Marato kutoka Mara wote wa ITV wakiwa katika Kongamano hilo.
Mchana watu hugonga menu kama hivi walau masomo yaka eleweka.

Posted by MROKI On Tuesday, June 01, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo