Nafasi Ya Matangazo

June 01, 2010

Mtangazaji na Mwandishi wa Redio Uhuru inayo milikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) Angel Akilimali (pichani) leo amepasha bayana kuwa anataka kuomba ridhaa ya wananchi na wakazi wa Chang'ombe jijini Dar es Salaam kumchagua awe mwakilishi wao katika Halmashauri kupitia Udiwani wa Kata hiyo. Akilimali ambaye ni Kada wa CCM na mmoja wa vijana machachari ameyasema hayo akiwa Mjini Morogoro.
Posted by MROKI On Tuesday, June 01, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo