Nafasi Ya Matangazo

June 01, 2010

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nishati na Madini , William Ngeleja (kushoto) na Mwenyekiti wa Chama cha Wadau wa Mafuta na Gesi nchini, Balozi Isaya Bakari Chialo katika mkutano wa Wadau wa Mafuta na Gesi alioufungua Dar es salaam Juni 1, 2010. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimsikiliza Waziri wa Nishati na Madini , William Ngeleja (kulia) na Mwenyekiti wa Chama cha Wadau wa Mafuta na Gesi nchini, Balozi Isaya Bakari Chialo (katikati) baada ya kufunmgua mkutano wao.
Posted by MROKI On Tuesday, June 01, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo