Mpigapoicha wa Idara ya Habari MAELEZO Dar es Salaam Aron Msigwa Juni 5 2010 aliaga rasmi kambi ya Makapera wa Idara hiyo baada ya kufunga nmdoa na kuwa mwili mmoja na Bi. Yunita Ntenegele katika kanisa la Pentekoste Tanzania Banana Ukonga.
Msigwa na Mkewe wakiwa wameshikana mikono huku wakiwa na nyuso zenye furaha tele. 



0 comments:
Post a Comment