

Picha mbalimbali zikimuonesha Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, John Mnyika akiwa katika maandamano ya kuchukua fomu za kuwania Ubunge katika jimbo la Ubungo Dar es Salaam jana. Mnyika katika uchaguzi wa Mwaka 2005 alishika nafasi ya pili huku akimtoa jasho Charles Keenja wa CCM aliyeshinda jimbo hilo.




0 comments:
Post a Comment