Nafasi Ya Matangazo

June 15, 2010

Askari wa Faya wakizima moto uliokuwa ukiwaka katika nyumba moja iliopo maeneo ya Tabata Shule leo,chanzo cha moto huo inasemekana ni shoti ta umeme iliyotokea katika moja vyuomba vilivyomo katika nyumba hiyo.Hakuna mtu aliyepata madhara kutokanma na moto huo. Familia iliyokubwa na mkasa huu ipo katika maandalizi ya kumuoza binti yao hivi karibuni.
Piolisi walikuwa gado kulinda mali
Utafutaji vyuma chakavu ulichukua nafasi katika duka la urembo lililoteketea.
Gonga hapa kwa picha zaidi

Posted by MROKI On Tuesday, June 15, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo