Nafasi Ya Matangazo

June 15, 2010

Magari Sita leo majira ya saa 8 mchana yalipata ajali karibu na Kituo cha Dakladala Maogomeni Mikumi kwa kile kilichodaiwa kuwa ni kugongwa kwa nyuma na lori aina ya Benzi la kubena mchanga. Magari hayo picvhani ambayo yaliharibika vibaya huku yakiwa yamepandiana yaklisababisha kufungwa kwa muda kwa barabara ya Kawawa. Hakuna mtu aliyepoteza maisha katika ajali hiyo.
Posted by MROKI On Tuesday, June 15, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo