Nafasi Ya Matangazo

June 30, 2010

Baadhi ya wahariri wa Vyombo vya Habari Nchini Wakimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi Ruth Mollel [pichani hayupo} wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Kuelimisha umma juu ya Mazingira na Umaskini uliofanyika Ofisi ya Makamu wa Rais Mtaa wa Luthuli Mjini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi Ruth Mollel Katikati katika picha ya pamoja na wahariri wa Vyombo vya habari nchini Mara baada ya Mkutano leo Mjini Dar es Salaam.
Posted by MROKI On Wednesday, June 30, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo