Nafasi Ya Matangazo

June 07, 2010

Mpigapicha Athuman Hamisi leo aliozungumza na Waandishi wa Habari katika Ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO na kutoa shukrani zake kwa wote walioshiriki kwa namna moja au nyingine katika kuuguza tangu alipopata ajali. Kushoto ni Nesi wake Faith kutoka Afrika Kusini.
Wapigapicha wakichukua picha katika mkutano huo wa Athuman Hamisi.

Athuman akizungumza na waandishi wa Habari.
Alisimimulia strori ambayo ilikuwa ni majonzi makubwa kwa kila mtu aliyekuwa akisikiliza.

Nesi wake Faith kutoa Afrika Kusini akionesha waandishi picha ya shingo ya Athuman ilivyoungwa.
Wadau walikula snap na Comred Athuman Hamisi. Athumani alisema "KUUGUA SIO KUFA"

Posted by MROKI On Monday, June 07, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo