Warembo wa Miss Ilala 2010 waliofanikiwa kupata tiketi ya kushiriki Vodacom Miss Tanzania 2010 wakiwa katika picha ya pamoja juzi baada ya kutajwa kuwa ndio washindi. Warembo hao ni Miss Ilala 2010 Bahati Chande (katikati) akiwa na mshindi wa pili Consolata Lukosi (kushoto) na Mshindi wa tatu na Salma Mwakalukwa.June 28, 2010
Warembo wa Miss Ilala 2010 waliofanikiwa kupata tiketi ya kushiriki Vodacom Miss Tanzania 2010 wakiwa katika picha ya pamoja juzi baada ya kutajwa kuwa ndio washindi. Warembo hao ni Miss Ilala 2010 Bahati Chande (katikati) akiwa na mshindi wa pili Consolata Lukosi (kushoto) na Mshindi wa tatu na Salma Mwakalukwa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




0 comments:
Post a Comment