Mkuu wa Wilaya ya Morogoro mjini Said Thabit Mwambungu akizungumza wakati wa kufunga kongamano la 6 la Wahariri na Waandishi wa Andamizi wa Habari lililoandaliwa na Mfuko wa Bima ya Afya (NHFI) mjini Morogoro leo. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa NHIF Emmanuel Humba. Washiriki wakimsikila mgeni rasmi.
DC Mwambungu akiwa na Mkurugenzi wa NHIF Humba. Mgeni rasmi wakati akiingia ukumbini.
0 comments:
Post a Comment