Nafasi Ya Matangazo

June 02, 2010

Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro anaetoka Maeneo ya Turiani Marcussy Mgweno (pichani) Ametangaza nia ya kuomba ridhaa ya wananchio wa Jimbo la Uchaguzi la Mvomero kuchagua awe mwakilishi wao Bungeni katika uchaguzi Mkuu utkao fanyika baadae Mwaka huu. Mgweno akisisita jambo katika mkutano wake na waandishi wa habari mjini Morogoro. Kulia ni mwandishi Mary Edward wa ITV Dodoma.
Waandishi wa habari wakiwa wamemzunguka Mgweno wakati wa mkutano wake wa kutangaza nia.
Jimbo hilo ambalo linaongozwa na Suleiman Sadiq "Murad" tayari linawaonesha nia wawili waliotambulika kwa majina ya Mruma na Mkude.
Posted by MROKI On Wednesday, June 02, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo