Ngoja niukate watu tujichane siku yangu eti alaaaa!
Nimechoka kugawa tuuu acha nami nijichane sasa. Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakijichana cake kwenye birthday ya mfanyakazi mwenzao Mwamvita Makamba. Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare akifurahia jambo mara baada ya kupewa kekiz na Mwamvita (kulia)
0 comments:
Post a Comment