Aliyekuwa Mfanyakazi wa Kampuni ya magazeti ya The Guardian Ltd, kutoka IPP Media, David Kacho amefariki duania Jumapili usiku. Marehemu amesafirishwa leo kwenda kuzikwa nyumbani kwao Same mkoani Kilimanjaro. Marehemu amecha mke na watoto wawili mmoja akiwa na umri wa wiki moja. Kacho aliyekuwa Mapokezi.R.I.P DDAVID KACHO.
0 comments:
Post a Comment